Friday, December 16, 2016

Video: Chris Brown Ft Usher & Gucci Mane – Party

Msanii Chris Brown katoa video mpya ya wimbo “Party” akiwa amewashirikisha Usher na Gucci Mane, wimbo huu upo kwenye album yake ya nane “Heartbreak on a Full Moon”, inayotoka mwaka 2017.



Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video



0 comments:

Post a Comment