Baada ya kufanya vizuri na ngoma kibao na kutamba na wimbo “ni mzuri” hivi karibuni, Galaxyameisibitisha kauli yake ya kwamba “msanii hupaswi kuwa na pupa na kuifanyia kazi yako Shortcut inapaswa kuwa na juhudi”, Sasa Juhudi zake za kupambana katika Game ya Bongo fleva ametuletea kichupa chake kipya cha “Top In My Heart” ambayo imeongozwa na director Hanscana.
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
0 comments:
Post a Comment