Thursday, November 10, 2016

MUSIC: WEUSI FT CHRISTIAN BELLA – NIJUE (LISTEN & DOWNLOAD)

Mikono ya mtu mzima Nahreel wa The Industry ndio imehusika katika utengenezaji wa ngoma hii.
Ni G. Nako pamoja na Joh Makini wa Weusi ambao wamemshirikisha king of the best melodies Christian Bella. Ngoma inaitwa Nijue.

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment