Mmoja kati ya marapper wakali wakike kutoka Bongo Tanzania ni huyu hapa Chemical ambaye anamiliki hits kibao kama Sielewi, V.I.P na nyingine kibao.
Hiki hapa ni kibao chake kipya kabisa ambacho kakipa jina la Mary Mary.
LISTEN & DOWNLOAD.....
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
0 comments:
Post a Comment