Monday, November 7, 2016

African Lyon imekuwa timu ya kwanza kuchukua pointi tatu kwa Simba

African Lyon imekuwa timu ya kwanza kuifunga Simba SC tangu kuanza kwa ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2016/17.

Bao pekee la Abdulla Msuhi limeifanya Simba kuangusha pointi tatu kwa mara ya kwanza msimu huu wakati raundi ya kwanza ikielekea ukingoni.





Source:shaffihdauda

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment