Skip to content
Goodluck Gozbet ni mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva lakini aliwahi kukiri kuwa muziki ambao upo kwenye moyoni mwake ni muziki wa injili na huwa ana amani zaidi pale anapofanya muziki kwa ajili ya kumtukuza Mungu tofauti na anapofanya muziki wa Bongo Fleva.
0 comments:
Post a Comment