Kazi nyingine ya mikono ya Producer Rash Don wa Kiri Records ni hii hapa “My Time” iliyo vikutanisha vichwa vinne vya Hiphop Tanzania.
Ni Wizzy Rapper kama mmiliki wa ngoma na amewapa mashavu kina Staminah, Country Boy pamoja naJoh Maker.
Hii hapa ni video ya ngoma hivyo na imetengenezwa na Fimi Magical Studios.
0 comments:
Post a Comment