Kutoka 254 Kenya mwanadada Avril masaa machache yaliyopita amepandisha video yake mpya katika mtandao wa Youtube ili iweze kuwafikia wengi wanaopenda muziki wake.
Sikusita kuileta kwako kwasababu najua hata wewe ni mpenzi wa muziki mzuri, inaitwa “Yule Dame”. Enjoy nayo.
0 comments:
Post a Comment