Wednesday, October 12, 2016

UKWELI JUU YA TAARIFA ZA KIFO CHA MCHEKESHAJI ANNE KANSIIME


Baada ya habari kusambaa mtandaoni juu ya kifo cha mchekeshaji kutoka nchini Uganda, Kansiime Kubiryaba Anne maarufu kwa jina la Anne Kansiime, ambazo zilianzishwa na tovuti ya TimesLives.


Tovuti hiyo ilisema kuwa staa huyo alianguka jukwaani Jumapili hii akiwa Afrika Kusini na kukimbizwa hospital kabla umauti haujamfika ikiwa tu anaumri wa miaka 29.
Taarifa nikwamba Mchekeshaji Anne Kansiime ni mzima, kuthibitisha ilo ameamua kutumia ukurasa wake wa Facebook ambao upo verifaid kupinga tetesi hizo vikali ambapo aliweka wazi kwa mashabiki zake kuwa yupo hai na hajafa.
Pia aliwataka waandishi wa habari hiyo
kufanya kazi iliyo sahihi kwa kumtafuta yeye mwenyewe na kama angekuwa kafa angeamka kuwajibu.
Anne Kansiime ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook..
“ Hmmmmm….so times1ive.co.za please help me to help you! If you are going to tell my ninjas that am dead, atleast tell me in advance so I back up your story.
Indeed Idleness has finally become a hobby. Well, relax my ninjas, your queen ninja is not about to desert you fwaaaaaa…..I still have alot of love and joy to give.
#sharedblessings
#IKnowWhoIam.”
Kwa wale ambao hawafahamu juu ya vichekesho vyake Anne Kansiime, hiki ni kimoja wapo.

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video 

0 comments:

Post a Comment