Katika ulimwengu wa soka leo jumamosi ya Oktoba 1 barani Ulaya ligi mbalimbali zinaendelea kukichapa.
Ratiba ya michezo ya leo katika ligi 5 kubwa na bora Duniani kutoka barani Ulaya.
English Premier League
- Swansea City vs Liverpool (Saa 8:30 Mchana)
- Hull City vs Chelsea (Saa 11:00 Jioni)
- Sunderland vs West Bromwich Albion (Saa 11:00 Jioni)
- Watford vs AFC Bournermouth (Saa 11:00 Jioni)
- West Ham United vs Middlesbrough (Saa 11:00 Jioni)
Spanish La Liga
- Granada vs Leganes (Saa 8:00 Mchana)
- Sevilla vs Alaves (Saa 11:15 Jioni)
- Osasuna vs Las Palmas (Saa 1:30 Usiku)
- Deportivo la Coruna vsSporting Gijon (Saa 3:45 Usiku)
Italian Serie A
- Pescara vs Chievi Verona (Saa 1:00 Jioni)
- Udinese vs Lazio (Saa 3:45 Usiku)
German Bundesliga
- Bayern Munich vs FC Cologne (Saa 10:30 Jioni)
- Darmstard vs Weder Bremen (Saa 10:30 Jioni)
- Freiburg vs Eintratch Frankfurt (Saa 10:30 Jioni)
- Hertha Berlin vs Humburger SV (Saa 10:30 Jioni)
- Ingolsttadt vs Hoffenheim (Saa 10:30 Jioni)
- Bayer Leverkusen vs Borussia Dortmund (Saa 10:30 Jioni)
French League 1
- Paris Saint german vs Bordeaux (Saa 12:00 Jioni)
- Caen vs Toulouse (Saa 3:00 Usiku)
- Dijon vs Montpellier (Saa 3:00 Usiku)
- lille vs Nancy (Saa 3:00 Usiku)
- Metz vs Monaco (Saa 3:00 Usiku)
- Nantes vs SC Bastia (Saa 3:00 Usiku)
0 comments:
Post a Comment