Tuesday, October 25, 2016

MUSIC: MESEN SELEKTA – KISS & LOVE (LISTEN & DOWNLOAD)


Kuna ule usemi wa kiswahili usemao “Mganga hajigangi”, hauna uhusiano hata kidogo na Producer Mesen Selekta.
Kwasababu ameamua kufit kwenye mdundo ambao kazi yake ya mikono imehusika na kuamua kutengeneza bonge la ngoma ambalo kalipachika jina la Kiss & Love.
Sio mara ya kwanza kwake kufanya hivyo kwasababu ameshawahi kutuchezesha na ngoma kama Kanyaboya na nyinginezo kibao ambazo zilifanya poa kinoma mtaani.
Acha nikupe nafasi ya kuenjoy na hii mpya na kali inayoitwa Kiss & Love halafu uniachie maoni yako hapa chini kwenye uwanja wa comments kuwa kati ya hii na zilizopita ni ipi kali zaidi.

LISTEN & DOWNLOAD ...........



Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment