October 12, 2016 Kenya inaingia kwenye headlines tena ikiwa ni baada ya mwimbaji staa wa Marekani Chris Brown kufanya show weekend iliyopita Mombasa, mpya ya leo imetoka kwa Gavana wa Mombasa Hassan Joho ambaye inaelezwa ndiye alidhamini tamasha la Mombasa Rocks Music Festival.
Ripoti kutoka Kenya zinasema sababu kubwa hasa ya Gavana huyo kuwaleta mastaa wakubwa kutoka Marekani ni kutaka kukuza jina lake na kuitangaza zaidi Mombasa kwenye suala la utalii.
0 comments:
Post a Comment