Wasanii wa muziki wa bongofleva pamoja na wasanii wa bongo movie amewasili uwanja wa taifa muda huu kwa ajili ya mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko Kagera.
Kapteni wa timu ya wasanii wa bongofleva, H.Baba amehaidi kununua kila goli litalofungwa tsh 100,000.
Mechi kati ya wasanii wa muziki wa bongofleva pamoja na wasanii wa bongo movie inatarajiwa kuwa na msisimko wa aina yake kutokana na timu ya bongo movies kufunga katika mechi zao tatu za mwisho. Angalia picha.
Pia kutakuwa na mechi nyingine kati ya wabunge mashabiki wa simba pamoja na wabunge mashabiki wa Yanga.
0 comments:
Post a Comment