CHRIS BROWN NA WIZKID KUPERFORM PAMOJA MOMBASA MWEZI UJAO 10:47:00 AM Unknown By Kamanda No comments Edit Wiki chache baada ya Trey Songz, Chris Brown na yeye anakuja Afrika Mashariki! Staa wa Marekani,Chris Brown ataungana na Wizkid kutumbuiza Mombasa, Kenya kwenye tamasha la ‘Mombasa Rocks Festival’.Tamasha ilo litafanyika tarehe 8 mwezi Oktoba. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment