Saturday, December 10, 2016

Movie: Tazama Trailer la Movie mpya ya “Spider-Man Home Coming”

Kama wewe ni mpenzi wa movie za Marvel najua utakuwa umeipata hii ya ujio mpya wa movie ya Spider Man Home Coming
Good Newz ni kwamba kaa mkao wa kula kumwona Spider Man mpya ambaye amekuja na uwezo wa tofauti kuliko wale wengine waliopita, kama utakumbuka movie ya Captain America Civil War yule Spider Man aliyetumika pale Tom Holland ndio ametumika kwenye huu ujio mwingine wa Home Coming.











Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video



0 comments:

Post a Comment