Saturday, December 10, 2016

alikiba achukua tuzo mbili


Jana 09 dec 2016 ilikua siku poa kwa star wa hit single ya “kajiandae” Alikiba kwenye ugawaji wa tuzo za AbryanzStyleAndFashionAwards(ASFAs2016) zilizotolewa Kampala Serena Hotel Alikiba kafanikiwa kuondoka na tuzo mbili ikiwemo ya most stylish artiste East Africa na most fashionable music video,ambapo most fashionable music video ni video ya aje
Huu umekua mwendelezo mzuri kwa msanii Alikiba kuufanya muziki wake kupenya nje ya mipaka ya bongo.




Source:perfect255
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video





0 comments:

Post a Comment