Wednesday, October 19, 2016

Ushindi mnono wa Real Madrid katika michuano ya UEFA Champions League

Burudani ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Legia Warszawa mchezo uliochezwa katika dimba la Santiago Bernabeu.
Real Madrid ambao ndio Mabingwa wa kihistoria wa michuano ya UEFA Champions League wamedhihirisha kwa mara nyinine ubora wao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kumuadhibu Legia Warszawa kwa goli 5-1, magoli ya Real Madridyalifungwa na Gareth Bale dakika ya 16, Tomasz Jodlowiec aliyejifunga dakika ya 20.

Source: millardayo

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment