Miaka michache iliyopita Ay alitangaza kuwa na collabo na rapper wa Marekani Tyga, kama ulidhani hiyo collabo haipo Ay ana hili la kukwambia.
Akiwa anajibu maswali ya mashabiki wake Twitter, Ay amesema collabo hiyo ipo na muda ukifika ataiachia.
Madude yako kabatini nilizidisha mbio wakati industry haijafikia huko so nimeyatuliza nisubiri wakati wake ukifikatwitter.com/abuuslimberg/s…
Ay pia alisema ana ngoma mpya na producer maarufu wa Afrika kusini,Dj Maphorisa.


0 comments:
Post a Comment