Monday, September 26, 2016

Pharrell Williams na mkewe wanatarajia kupata mtoto wapili


Producer na msanii Pharrell Williams na mke wake Helen Lasichanh, wanatarajia kupata mtoto wao wa pili.
Kwa mujibu wa E! News, kwa muda walikuwa wakitaka kupata mtoto wa pili.
Pharrell ’43’ na Helen ’36’ walipata mtoto wao wa kwanza wa kiume Rocket Man Williams mwaka 2008 na kufunga ndoa mwaka 2013 mjini Miami.

0 comments:

Post a Comment