Monday, September 26, 2016

KIKWETE USO KWA USO NA RIHANNA, KENDRICK LAMAR PIA NA USHER KWENYE GLOBAL CITIZEN FESTIVAL, NEW YORK

Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete
aliungana na maelfu ya kuhudhulia tamasha la Global Citizen festival. lililofanyika New York, Marekani.

Rais Mstafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
ambaye pia ni Kamishna wa Kamisheni ya
Kimataifa kuhusu elimu akizungumza mbele ya umati wa wakazi wa jiji la New York katika tamasha la Global Citizen Festival lililofanyika Central Park.
Kupitia tamasha hilo, Mhe.Kikwete aliichagiza jumuiya ya kimataifa kuchangia na kuwekeza katika elimu kwa
mustakabali wa kizazi cha sasa na kijacho.

Kwenye Tamasha hilo pia wasanii maarufu wa Marekani, Rihanna, Kendrick Lamar, Usher, Demi lovato na Martin Rock walitumbuiza.

0 comments:

Post a Comment