Thursday, September 22, 2016

FILAMU MPYA “KALAMBATI LOBO” KUONYESHWA BURE


Habari njema kwa mashabiki wa kazi za JB, ile filamu ambayo inasubirirwa kwa hamu ya “Kalambati robo” kesho itaonyeshwa bure kupitia luninga ya TV SIBUKA.
Najua wengi tunasubiria ujio wa fialmu mpya ya “Kalambati lobo” ambayo inatarajiwa kutoka tarehe 26/9, Sasa good newz ni kwamba kwa wale watumiaji wa ving’amuzi vya Star times utaweza kutazama filamu hiyo mpya kwa mara ya kwanza kabla yakuingia sokoni, Filamu hiyo itarushwa kesho ijumaa kuanzia saa 3 usiku.
Taarifa hiyo imekuja kupitia mtandao wake wa Instagram ambapo Jb aliamua kushare na mashabiki zake kuhusu ishu hiyo.

0 comments:

Post a Comment