Friday, September 23, 2016

BIRTHDAY YA ZARI: UJUMBE NA NYUMBA ALIYOIONESHA DIAMOND WA WAKUNA WENGI


Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametumia fursa ya siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake, Zarina Hassan ‘Zari thebosslady’ kumwandikia ujumbe muhimu kudhihirisha ni kwa kiasi gani anampenda huku akiambatanisha na picha ya Mjengo aliyomnunulia mpenzi wake huyo na kuweka wazi kwamba siku ya leo itakuwa nishida huko Zanzibar.


They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House… and now a person wich they are daily abusing and saying that he’s broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on Social Media….. Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House….Can’t wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow….I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady ๐Ÿ˜™๐ŸŒท๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰๐ŸŒท (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga… halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi Maisha bora kama wanayoyatamani… Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu…. Nakupenda sana na unalifahamu hilo…natumai umeipenda Nyumba yetu hii mpya South Africa… nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho zanzibar….๐Ÿ˜™๐ŸŒท๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰๐ŸŒท)
Kupitia ukurasa wake Instagram, Diamond ameandika;

0 comments:

Post a Comment