Friday, June 16, 2017

Okwi atua Msimbazi kuziba pengo la Ajib

Updates: Muda mfupi uliopita, klabu ya Simba kupitia msemaji wao Haji Manara wamethibitsha Okwi amemwaga wino wa kuitumikia Simba, mkatabawa miaka miwili.  



 Okwi ambaye ameshaitumikia Simba kwa vipindi viwili tofauti, ametua Bongo jana usiku na leo mchana amethibitisha kwamba yupo katika mazungumzo ya mwisho ya kujiunga na Simba. 

Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment