Thursday, May 25, 2017

Messi ahukumia miezi 21 jela kwa ukwepaji kodi

Kwa mujibu wa Gazeti la El Espanol, mshambuliaji huyo wa Barcelona amepatikana na hatia ya kukwepa kodi yenye thamani ya pauni 3.5 milioni katika miaka ya 2007, 2008 na 2009 ikiwa ni pamoja na kushindwa kuthibitisha kuwa anapokea kiasi cha pauni 8.7 milioni kama haki ya matangazo.


Kwa mujibu wa Sheria ya Hispania, kifngo hicho cha miaka miwili kinaweza kubadilika, na hivyo

Wakati huohuo, baba yake, Jorge pia amefungwa miezi 21 jela lakini adhabu hiyo ilipunguzwa hadi kusalia 15 na hivyokulazimika kulipa faini ya pauni 1.7 milioni.

Wachezaji wengine wa Barcelona ambao wanakabiliwa na kesi za kukwepa kodi ni pamoja na Neymar na Javier Mascherano.


source:thesun.co.uk
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment