Juzi usiku, Feb 4, kulikuwa na sherehe za ugawaji wa Tuzo za Hipipo Music Awards (HMA) nchini Uganda na Kwenye Tuzo hizo kulikuwa na Wasanii kutoka Tanzania ambao walichaguliwa kuingia kwenye vipengele mbalimbali.
Alikiba, AY, Diamond, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Yamoto Band, Harmonize na Ommy Dimpoz ndiyo wasanii pekee walioweza kuchaguliwa kuwania tuzo za Hipipo Music Awards 2017 za Uganda.
Alikiba, AY, Diamond, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Yamoto Band, Harmonize na Ommy Dimpoz ndiyo wasanii pekee walioweza kuchaguliwa kuwania tuzo za Hipipo Music Awards 2017 za Uganda.
Katika tuzo hizo Diamond ndio msanii pekee wa Tanzania aliyechaguliwa katika vipengele vingi ambavyo ni vinne akifuatiwa na AY, Alikiba pamoja na Navy Kenzo ambao wote wamewekwa katika vipengele viwili huku waliobakia wakiwania tuzo hizo katika kipengele kimoja.
Good news ni kwamba, kwa upande wa Wasanii kutoka Tanzania walioibuka na ushindi wa Tuzo hizo ni Diamond Platnumz ambaye kabeba tuzo mbili kwenye vipengele vya Quinquennial Africa Music Vanguard Award na East Africa Best Video Kupitia wimbo wake wa Salome akiwa na Rayvany, Ali Kiba pia ameshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka kutoka Tanzania na wimbo wake wa AJE na Navy Kenzo Wameshinda tuzo ya East Africa Best New Act na wimbo wao wa Kamatia chini.
Tuzo hizo zilitolewa katika ukumbi wa Kampala Serena Hotel.
Hii hapa Orodha kamili ya washindi
1) East Africa Super Hit
Unconditional Bae by Sauti Sol Ft Alikiba
2) East Africa Best Video
Salome by Diamond Platnumz ft Rayvanny
3) Song of the Year: Kenya
Unconditionally Bae by Sauti Sol and Alikiba
4) Song of the Year: Tanzania
Aje by Alikiba
5) Song of The Year: Rwanda
Indoro by Charly & Nina Feat Big Fizzo
6) Song of the Year: South Sudan
Sambala by MB Law and Rhapsody Ft Radio & Weasel
7) Artist of the Year
Sheebah Karungi
8) Best Male Artist
Bebe Cool
9) Best Female Artist
Sheebah Karungi
10) Best Music Group
Pine Avenue5
11) Best Breakthrough Artist
Roden Y
12) Album of the Year
The Chosen Album by Navio
13) Video of the Year
Kisasi Kimu by Sheebah Karungi (Video director Sasha Vybs)
14) Song of the Year (Uganda)
Kabulengane by Bebe Cool
15) Best Audio Producer
Nessim
16) Best Video Producer
NG Filmz UG (Dr. Nolton)
17) Best Song Writer
John Kay
18) Best Hip Hop Song
Sala Puleesa by Mun G
19) Best RnB Song
Addicted by Maro Ft Iryn Namubiru
20) Best Ragga Dancehall Song
Tuli Majje by Ziza Bafana
21) Best Reggae Song
African Gal by Bebe Cool
22) Best Religious Song
Ninkwesiga by Ray G Rhiganz
23) Best Band Song
Sembera by Mary Bata
24) Best Folk Song
Mayumba Kumi by Jackie Kizito
25) Best Zouk Song
Same Way by Geosteady And Lydia Jazmine
26) Best Afrobeat Song
Nkwatako by Sheebah Karungi
27) Best Afropop Song
Dangerous by Ceaserous
28) Best DJ
Dj Slick Stuart & Dj Roja
29) Best Regional Song
Ninkwesiga by Ray G Rhiganz
30) Must Watch Talent (Commendation Certificate)
KizAza
31) Commended A-Cappella Group (Commendation Certificate)
Canaan Gents
32) Quinquennial Africa Music Vanguard Award (2012-2016)
Diamond Platnumz
33) Music Icon of the Decade
Bebe Cool
0 comments:
Post a Comment