Kutoka kwenye album ya Above In a Minute (AIM) yakwao Navy Kenzo hii hapa ni moja kati ya ngoma ambazo zinapatikana kwenye album hiyo.
Ameshirikishwa mfalme wa Bongo Fleva Alikiba, ngoma inaitwa Lini. Una kila sababu ya kuenjoy nayo. Sikiliza au download hapa chini.
LISTEN/DOWNLOAD...............
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
0 comments:
Post a Comment