Usiku wa leo Jumanne ya November 1 barani Ulaya kuna muendelezo wa michezo ya Ligi ya Mabingwa barani humo.
Ni timu zilizopo katika makundi A,B,C na D ndizo ambazo zitamenyana leo ili kila moja kutafuta points ambazo zitamuwezesha kusonga katika hatua inayofuata katika ligi hiyo.
Iko hapa chini ratiba ya michezo yote ya usiku wa leo.
Group A
- Basel vs Paris Saint German
- Ludogorets Razgrad vs Arsenal
Group B
- Besiktas vs SSC Napoli
- Benfica vs Dynamo Kyiv
Group C
- Borussia Monchengladbach vs Celtic
- Manchester City vs Barcelona
Group D
- Atletico Madrid vs FC Rostov
- PSV Eindhoven vs Bayern Munich
Michezo yote hiyo itapigwa katika mishale ya saa 4:45 Usiku,
Source: perfect255
0 comments:
Post a Comment