Video ya rapper Chemical ya wimbo wake mpya Mary Mary. Wimbo una kisa cha kuvutia na unaonesha uwezo mkubwa wa rapper huyu kiundishi. Wimbo ulitayarishwa na Maximizer huku video ikiongozwa na Minzi Mims.
Sunday, November 13, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment