Ngoma ambayo imepata mapokeo mazuri sana muda mchache tu baada ya kufikishwa kwa wapenzi wa muziki mzuri. Ni hii hapa mpya kutoka kwa Darassa akiwa kamshirikisha king wa RnB Ben Pol.
Ngoma inaitwa Muziki, na ni mikono ya maproducer watatu ambayo imehusika katika utengenezaji wa ngoma hiyo, nao ni Mr V.S, Abbah pamoja na Mr T-Touch.
LISTEN & DOWNLOAD.....
Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
0 comments:
Post a Comment