Monday, May 8, 2017

millardayo

Ajali iliyoua watu 32 kwa mkupuo nchini Tanzania wakiwemo Wanafunzi 29 wa shule ya St. Lucky Vicent na watu wazima watatu wakiwemo Waalimu na Dereva, ni habari kubwa sio tu Tanzania bali hata kimataifa.
Katika kuhakikisha taarifa zinasambaa duniani kote mitandao mingi ya kimataifa imerusha habari hii wakiziandikia headlines mbalimbali lakini iliyoonesha kusikitishwa na tukio hilo.
The New York Times
NBC NEWS
ABC News
The Telegraph
Africanews
DAILY NATION
FOX NEWS World
The Daily Telegraph
YAHOO NEWS
EXPRESS



source:millardayo
Tuandikie Maoni Yako Hapa Chini. Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video za kufurahisha na kuvunja mbavu.

0 comments:

Post a Comment