Friday, January 13, 2017

MUSIC: DULLY SYKES – YONO (LISTEN/DOWNLOAD)


Legendary wa muziki wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes ameendelea kulibakisha jina lake kwenye list ya wakongwe wachache ambao wanaendelea kukinukisha kwenye game hadi leo. Ni baada ya kudropisha ngoma yake mpya leo ambayo kaipa jina la Yono.

LISTEN/DOWNLOAD.........


Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video

0 comments:

Post a Comment