Ni ligi kuu ya Tanzania bara inaleta msisimko sana haswa miamba 4 ikiwa katika ubora wake, huku mechi zinazo tazamwa sana ni zile za Yanga na Simba kila mmoja akitia neno lake huku Azam akiangalia kama mtu wa tatu ambaye anatibua starehe ya watani wa jadi.
YANGA DHIDI YA MBEYA CITY
Amepasuka tunaweza kusema hivyo kwani Mbeya City wameonesha kukomaa na kuweza kupata alama 3 muhimu, kituko katika mechi hiyo pale muamuzi alipokubali goli la Mbeya City dakika moja baadae amelikataa, na baada ya kukaa kitambo kidogo na busara za baadhi ya wachezaji kukubali bao hilo hadi mwisho Yanga amekufa 2-1 .
Source: mtembezi

0 comments:
Post a Comment