hirika la umeme nchini (Tanesco) limetoa taarifa ya kufanya maboresho katika kituo kikubwa cha umeme Ilala na njia yenye msongo mkubwa wa umeme jambo ambalo litasababisha maeneo ya Ilala na Temeke kukosa umeme kwa siku ya Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana.
Source: dewjiblog
0 comments:
Post a Comment