Hatimaye mwili wa bondia Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’ amepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kufariki usiku wa Oktoba, 31, eneo la Kimara baada ya kupigwa na watu na chanzo hasa cha tukio hilo kikiwa bado hakijafahamika.
MO Blog ilihudhuria mazishi hayo na hapa tumekuwekea picha 30 tangu mwili wa Thomas Mashali ukiangwa katika viwanja vya Leaders Club na baadae makaburi ya Kinondoni.

0 comments:
Post a Comment