Wednesday, November 2, 2016

DC KIGAMBONI AWAWEKA NDANI WAZAZI WA WANAFUNZI WATORO

Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa ameanza ziara ya kutembelea Kata za Wilaya ya Kigamboni, ambapo ameanzia Kata ya Kimbiji na kuzindua vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya msingi Bohari.




Source: mtembezi

Jiunge na hatukwamii.blogspot.com/ sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video


0 comments:

Post a Comment